Pages


WELCOME KILINDI COMMUNITY

Karibuni wanakilindi kweye Blog yetu mpya.Blog hii imetengenezwa kwaajili ya kuwakutanisha wanakilindi pamoja na kupanga mikakati thabiti inayohusu namna ya kuleta maendeleo kataka wilaya ya Kilindi.

Monday, January 30, 2012

TANGAZO KWA WANAKUSO


Wewe kama m'moja wa wanakuso unafahamishwa kuwa mwanakuso mwenzetu( NANCY SEMHINA) amepatwa na msiba kwa kuondokewa na baba yake usiku wa kuamkia tarehe 30/01/2012,hivyo basi wewe kama mwanakuso mchango wako wa rambirambi unahitajika.

Saturday, January 21, 2012

MKUTANO WA WANA KUSO

Kwa wale ambao ni wanachama wa KUSO mnatangaziwa kuwa kutakuwa na kikao tearehe 21/02/2012 katika Hostel za mipango ndani ya ukumbi wa Furaha.Kikao kitaanza saa sita mchana.
Kufika kwako ndio kufanikisha kikao chetu.
Upatapo tangazo hili mualifu na mwenzako.