Kwa wale ambao ni wanachama wa KUSO mnatangaziwa kuwa kutakuwa na kikao tearehe 21/02/2012 katika Hostel za mipango ndani ya ukumbi wa Furaha.Kikao kitaanza saa sita mchana.
Kufika kwako ndio kufanikisha kikao chetu.
Upatapo tangazo hili mualifu na mwenzako.

KUSO is an organizaion composes of university students who originated from Kilindi district.This organization aims to bind all undergraguates,diplomal and certificates students who are coming from Kilindi area,KUSO designed so as to make aware poeple on how live goes at Kilindi and the way to ensure that development are achieved in a particular manner.
Pages

WELCOME KILINDI COMMUNITY
Karibuni wanakilindi kweye Blog yetu mpya.Blog hii imetengenezwa kwaajili ya kuwakutanisha wanakilindi pamoja na kupanga mikakati thabiti inayohusu namna ya kuleta maendeleo kataka wilaya ya Kilindi.
Saturday, January 21, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
asante sana kaka salehe kazi nimeikubali kindedi kindedi........kaka we ni jembe.
ReplyDeleteasante sana kaka salehe kazi nimeikubali kindedi kindedi........kaka we ni jembe.
ReplyDeletehamna mbuli mkulu!
ReplyDelete