Pages


WELCOME KILINDI COMMUNITY

Karibuni wanakilindi kweye Blog yetu mpya.Blog hii imetengenezwa kwaajili ya kuwakutanisha wanakilindi pamoja na kupanga mikakati thabiti inayohusu namna ya kuleta maendeleo kataka wilaya ya Kilindi.

Saturday, January 21, 2012

MKUTANO WA WANA KUSO

Kwa wale ambao ni wanachama wa KUSO mnatangaziwa kuwa kutakuwa na kikao tearehe 21/02/2012 katika Hostel za mipango ndani ya ukumbi wa Furaha.Kikao kitaanza saa sita mchana.
Kufika kwako ndio kufanikisha kikao chetu.
Upatapo tangazo hili mualifu na mwenzako.

3 comments:

  1. asante sana kaka salehe kazi nimeikubali kindedi kindedi........kaka we ni jembe.

    ReplyDelete
  2. asante sana kaka salehe kazi nimeikubali kindedi kindedi........kaka we ni jembe.

    ReplyDelete